Unknown Unknown Author
Title: YAJUE MASWALI YALIYO ZUA UTATA KUHUSIANA NA MAREKANI KUPELEKA BINADAMU WA KWANZA(ARM NEIL STRONG) MWEZINI MWAKA 1969!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
JUU PICHA YA KWAMZA PICHA YA PILI Picha ya Tatu July 20 ya mwaka 1969 US walidai kuwa waliweza kupeleka binadamu wa kwanza mwezini (Neil...
JUU PICHA YA KWAMZA
PICHA YA PILI
Picha ya Tatu July 20 ya mwaka 1969 US walidai kuwa waliweza kupeleka binadamu wa kwanza mwezini (Neil Amstrong) katika kile kilichoitwa Appolo 11 mission. Ulimwengu uliaminishwa hivyo japo kuna vitu vingi vilianza kuleta mkanganyiko baadaye!! Maswali yamekuwa mengi kuhusu NASA kufika mwezini huku wengi wakifikia hitimisho kwamba hiyo ilikuwa ni filamu ambayo ilitengenezwa katika jangwa na Nevada ambalo ni sehemu ya ngome ya jeshi la US. Nimepitia baadhi ya madai ya wanaopinga madai ya US na baadhi yake ni haya!! 1. Picha ya kwanza inaonekana bendera ya ikiwa inapepea mwezini. Kulingana na scientific evidences hakuna upepo mwezini, japo hiyo bendera ilipeperushwa na kitu gani? 2. Picha ya pili inaonesha nyayo ya Astronaut ila Appolo 11 chombo ambacho kilikuwa na uzito wa karibia tani 4 haikuacha alama yeyote! Sasa mtu aache notable footage alafu tani 4 zishindwe! 3. Picha ya tatu ilipigwa mwezini huku kukiwa hakuna nyota hata moja! Sasa moja ya notable evidence toka mwezini ni kukosekana kwa mawingu(clouds). Kukosekana kwa clouds kulitegemea kuonekana kwa uangavu kwa mamilion ya nyota yaliyosambaa katika galaxy yetu! Sasa no clouds no stars..huo ndiyo mwezi wa Wamarekani!! NB: Maswali zaidi yanayoulizwa ni kwamba, kama waliweza kwenda mwezini miaka ya 60 tena technolojia ikiwa chini, kwanini imewachukua miaka mingi bila kurudi tena huko? Asante STEVEN MWAKYUSA Kwa Picha na Maelezo Yote

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top