PICHA NA MAELEZO:HII HAPA NDIYO SABABU YA KWANZA INAYO THIBITISHA KWANINI ZIWA NYASA NI LETU SOTE!
Pichani Muda mfupi tu Mpiga Picha wetu wa MJUMBE BLOG Akiagana na Makamanda Alio kuwa akibadilishana nao Mawazo na kukusanya maono yake ya Uelewa wa Wana nchi waishio kandokando ya Ziwa Nyasa Kuhusu Nani Mmiliki wa Ziwa Nyasa.Hawa ndio walikuwa Waongozaji na Wenyeji wake
SABABU YA KWANZA INAYO ELEZA KWANINI ZIWA NYASA NI LETU WSOTE HII HAPA;SOMA WALICHO ZUNGUMZA VIONGOZI WETU HAPA!
Rais wa Malawi Profesa Peter Mutharika akisalimiana na Mama Salma Kikwete alipomtembelea kumjulia hali Rais Kikwetev kwenye hoteli ya Ritz Carlton katika kitongoji cha George Town jijini Washington DC, Marekani, ambamo wote walikuwa wamefikia. Rais Kikwete na Rais Mutrharika, ambao walikuwa miongoni mwa viongozi wa Afrika walioalikwa kuhudhuria Mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika chini ya uenyekiti wa Rais Barack Obama wa Marekani, walifanya maongezi mafupi yasiyo rasmi, ambapo pamoja na mambo mengine walizungumzia kudumisha mahusiano mazuri na ya muda mrefu baina ya nchi hizo mbili.(Picha na Ikulu)
Post a Comment