Unknown Unknown Author
Title: PICHA ZIKIONESHA SAFARI YA MWISHO YA MZEE RASHID MBWENGO ALIYE FARIKI GHAFLA AKIWA JUKWAANI,MHEZA TANGA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mwili wa Mzee Rashid Mbwengo Ukiwa Unaelekea Kuhifahiwa Pichani ni Dkt Slaa ambaye pia ni katibu mkuu wa CHADEMA akishiriki shughuli za Ma...
Mwili wa Mzee Rashid Mbwengo Ukiwa Unaelekea Kuhifahiwa
Pichani ni Dkt Slaa ambaye pia ni katibu mkuu wa CHADEMA akishiriki shughuli za Mazishi
Pichani ni mwili wa Rashidi Mbwengo Ukihifadhiwa katika nyumba yake ya kudumu Mzee Rashid Mbwengo alifariki mara baada ya kukimbizwa Hospitalini alipo anguka akiwa jukwaani akijibu swali akiwa kama mgombea wa nafasi katika Baraza la wazee CHADEMA,Tukio Hilo limetokea Mheza Tanga jana.Kutokana na Msiba huo Zoezi la Uchaguzi lilisimamishwa kwa Muda. Asante ya Picha Frank Chaka jr Bwana alitoa,bwana ame twaa. MUNGU Ailaze Roho ya Marehemu mahari pema peponi Ameni.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top