TAARIFA KWA UMMA:MABADILIKO YA ANUANI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI
Wizara ya mambo ya Ndani ya Nchi inapenda kuwatangazia wananchi na wadau wote kuwa anwani ya Wizara imebadilika na sasa inaandikwa kama ifuatavyo:
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
9 Barabara ya Ohio,
S.L.P 9223,
11483 DAR ES SALAAM.
Imetolewa na:
Isaac J. Nantanga
MSEMAJI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Post a Comment