Msanii afande Sele ameondokewa na mzazi mwenzie (aliyewahi kuwa mkewe na hichi ndicho alichoandika.
Ndugu zangu!! Nimefiwa na Mzazi mwenzangu (Asha) /mama wa wanangu (mama Tunda) ..ni pigo kubwa kwangu na wanangu. SISI NI WAJA WA MWENYEZI MUNGU NA HAKIKA KWAKE TUTAREJEA; MUNGU AMPUMZISHE PEMA.
R.I.P mama Tunda na pole sana Afande Sele!

Post a Comment