TUNAOMBA RADHI KWA PICHA ZILIZOTUMIKA:KIBAKA ACHOMWA MOTO MPAKA KUFA KWA WIZI WA PIKIPIKI..SOMA HAPA
Kijana huyu ambaye jina lae na mahali anapoishi hapajafahamika mara moja amechomwa moto mpaka kukumbwa na mauti akidaiwa kuiba pikipiki katika maeneo ya katikati ya mji wa Morogoro Tukio hili limetokea jana maeneo ya Mkundi nje kidoo ya mji wa Morogoro.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo walisema uwa pikipiki zaidi ya 20 zilitokea mjini huku moja ya pikipiki hizo ilimbeba mtuhumiwa huyo huku aiwa amefungwa kmbwa mwili mzima na pikipiki nyingine ikiwa imebeba galoni la mafuta na majani makavu na walipofika eneo hilo walimlazimisha kushuka huku wakimshushia kichapo na baadae walimchoma moto na baada ya kujilizisha kuwa ameshakufa waliwasha pikipiki zao na kuondoka
Uchunguzi uliofanywa umebain kuwa kumekuwa na vita ya chinichini kati ys bodaboda na vibaka ambapo vibaka kabla ya kupora pikipiki huwafunga kamba na kuwaua nao bodaboda wakimkamata kibaka huwaua kwa kuwachoma moto kama walivyomfanya kijana huyu
Hawa ni mashuhuda wa tukio hilo
Baadhi ya wanakijiji wa Makundi wakimshangaa kibaka huyo baada ya kuuwawa kwa kuchomwa moto
DJ SEK BLOGSPOT
Road sector is an important sector in the economy of any nation due to
ReplyDeleteits impact on the welfare of its citizens and the investment involved. This
importance is propounded by the fact that transportation sector has a major
role to play in the socio-economic development of a country as it provides
access to markets, production, jobs, health, education and other social
services.
The Tanzanian Road construction industry is also a significant contributor to
the national economy accounting for 8 per cent of Gross Domestic Product
(GDP) and employing more than 1.9 million people.
The Ministry of Infrastructure Development (MoID) and Tanzania National
Roads Agency (TANROADS) have a major influence on the road construction
industry as sponsors, regulators and purchasers of road projects. These road
projects are ranging in size from repair works to large road projects. Road
construction industry’s turnover is mainly funded by the Government and
donors.
Construction and repair of roads utilizes a great part of government expenditure
in the 2007/2008 budget. The estimates for roads construction amounts to
almost TSh. 800 billion, equal to 13% of the national budget.
The country’s road network is estimated to be 85,000 km long and includes
trunk, regional, district, feeder and urban roads. Urban, district and feeder
roads which are estimated to be over 56,000 km are managed by Local
Government Authorities (LGAs) while regional and trunk roads (29,000 km)
are managed by TANROADS. In addition to this, some road networks which
are in National Parks and Game Reserve Areas are managed by the Tanzania
National Parks (TANAPA) and other institutions.
Irrespective of the importance and expenditure recorded above, the road
construction sector is evidenced from many studies to experience extended
problems. These problems are mainly grouped into three types.
kueni makini na blog zeni kimadili wewe ulie post hiiizi picha umekosa ethics
ReplyDelete