
Siku chache tu mara baada ya kupata udhamini mnono wa NMB,Kimosi cha Azamu kimeingia kambini na kuanza kupasha tayari kwa kuwania ngao ya hisani ya jamii.
Ambapo majeruhi Saint Prexu amejumuika pia Kipre Tchetche aliye kuwa safarini Nairobi amerejea tiyari kwa pambano la ngao ya his an ya jamii litakalo fanyika Septemba 14 2014.
Taarifa ni hisani ya ukurasa wa Azam fc
posted from Bloggeroid
Post a Comment