Unknown Unknown Author
Title: TASWIRA KUTOKA KIJIJINI:HAPA NAWASIKILIZISHA MDOGO MDOGO LIVE SHOW YA MWANZA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wame wahi mno nikaona nivema nikiwawashia Mpakato wangu watazame ladha za Bongo wakati mimi nina endelea kuiandaa dina yangu! Ni Ukweli usi...
Wame wahi mno nikaona nivema nikiwawashia Mpakato wangu watazame ladha za Bongo wakati mimi nina endelea kuiandaa dina yangu!
Ni Ukweli usio pingika kuwa huyu Msanii ameliteka soko la mziki nchini Pichani ni Wadogo zangu Rebeka na Lagard Hapa wana fuatisha kila wimbo... Tena bila makosa! Lakini Jana nili eaambia waniimbie wimbo wa Taifa wali shindwa kumaliza ubeti mmoja kwa usahihi.Picha ili pigwa kijijini Ludewa zaidi ya km 145 Ukitokea Njombe,Mjini.
Kweli ni Zamu ya Diamond!
Mwache ang'ae Mpaka nje ya Mipaka.

Nikimsikiliza Rebeka akifuatisha Mdogo mdogo mwanzo mpaka mwisho!



Hapa Rebeka na Lagard Waki fuatilia show ya Mwanza fiesta!wanna do thus

Hapa wimbo ukiisha wana sema eti niwa hadithie ile hafithi niliyo wahadithia Jana.Ile hali wame wasahau hata wahusika watatu kwa majina!
Msini kariri huku Ukiachana na Ukodaki mimi ndiye nimerithi mikoba ya akina bibi ya kuwa simlia hadithi wajukuu zangu!
Hadithi Njoo Uongo Njoo Utamu Kolea.
#MJUMBE asiye saini Posho.

posted from Bloggeroid

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top