Hatimaye Nyumba ya Spika wa bunge ime kamilika kama ilivyo tupiwa na na kodaki.Nyumba hii ime gharimu zaidi ya dola bilion 1.5 na imejengwa na kampuni pacha ya building construction.Hii imekuwa nyumba ya kwanza rasmi kwa spika kwani hapo awali amewahi kudai hana nyumba.
posted from Bloggeroid
Post a Comment