Unknown Unknown Author
Title: KANDEGE KENYEWE KAMOJA TU....!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Naaam; Waswahili wana Msemo kuwa " Ndege aliye mkononi mwako ana THAMANI kubwa kuliko wale ndege mia walio porini! " Ndege h...
Naaam;
Waswahili wana Msemo kuwa
"Ndege aliye mkononi mwako ana THAMANI kubwa kuliko wale ndege mia walio porini!"

Ndege huyu ana zijua vema sauti za wenzake walio Porini... Anauwezo aka waita na wakaja!!
Mtunze.
Usije nawewe uka sema kandege kenyewe kamoja tu....



MJUMBE sr
MBEYA

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top