SALAAMU ZA CHRIS MAS TOKA MJUMBE BLOG KWA WADAU POPOTE MLIPO!!
NENO LANGU NA LIWA FIKIE ndugu,Jamaa na Marafiki!!
Mary's Boy is Born to day!!
Laiti kama
Tunge amua kuchagua siku 54 tu kwa mwaka mzima Tuka enenda Kama Tunavyo enenda JUMA MOJA KABLA YA MWAKA MPYA NA CHRIS MAS basi Mwaka mzima(kwani katika mwaka kuna majuma 54)
>AJALI Zinge pungua!
Maana siku za msimu wa xmas na Nyr madereva na abiria huongeza umakini zaidi wawapo katika vyombo vya moto
>YATIMA;
Wasinge jihisi ukiwa maana kila mtu msimu wa sikukuu hujigeuza Faza Kris mas
>WAFUNGWA;
Wasinge jihisi kutengwa na ulimwengu,maana msimu huu ndugu na jamaa huwakumbuka kwa kwenda kuwaona na kuwatia moyo!
>WAGONJWA
Wange jisikia afueni kwani msimu huu wengi huenda kuwaona wenzao walio lazwa mahospitalini
>USALAMA UNGE IMARIKA
Maana ni katika msim wa sikukuu tu wana usalama huwa hakikishia usalama raia wa nchi na huhimizwa kuwa watulivu na kuwa makini muda wote wa msimu huu.
>TAIFA ZIMA LINGE KUWA NA AFYA YA MWILI NA AKILI
Kwani ni katika msimu huu hata wale ambao hawana uwezo wa kula Mlo kamili hula! Kwani sisi ni matokeo ya Tunacho kula.
>UCHUMI na kipato cha kila mwana wa nchi kingekua!
Unge onge zeka na kupaa kwa kasi,maana masoko na maduka hupata wanunuzi wengi zaidi
>UMOJA WETU Unge dumu na kuimarika
maana katika msimu huu watu na watu hualikana!! familia hutembeleana!! Marafiki hutumiana Salam na kadi za kheri!!
Laiti kama KILA FAMILIA KWA NAFASI YAKE inge jaribu kutimiza wajibu wake ipasavyo;Basi taifa zima Linge kuwa mahali SALAMA pa kuishi kuliko mahali kwingine duniani!
Tunge kuwa Tume jitengenezea PARADISO YETU(Ile nchi ya KUFIKIRIKA tunayo itamani kila siku)!!
Ila katika yeye ana ishi kwetu nasi imetupasa tuishi kwake.
It begin with you,play your part;
It can be DONE!!
MERY CHRIS MAS wapendwa!!

Post a Comment