Unknown Unknown Author
Title: HATIMAYE WENYEVITI WA KAMATI WAJIUZURU!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
HATIMAYE WENYEVITI WA KAMATI WAJIUZULU Wenyeviti watatu wa Kamati za Kudumu za Bunge ambao walihusishwa nakashfa ya uchotwaji fedha kuto...

HATIMAYE WENYEVITI WA KAMATI WAJIUZULU
Wenyeviti watatu wa Kamati za Kudumu za Bunge
ambao walihusishwa nakashfa ya uchotwaji fedha
kutoka akaunti ya Tegeta Escrow, ikiwemo
kujipatia fedha, wamewasilisha barua za kuachia
nafasi zao kwa Spika wa Bunge.
Wenyeviti hao ambao wamejiuzulu kama
ilivyotakiwa na maazimio ya Bunge ni Andrew
Chenge (Bariadi Magharibi), William Ngeleja
(Sengerema) na Victor Mwambalaswa (Lupa).
Yesterday a

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top