Kama una Fuatilia MJUMBE BLOG mtandaoni jana Mchana Tuli toa taarifa yenye kichwa Kinacho Someka "ZIME BAKI SAA CHACHE TU KUIJUA HATIMA YA MUHONGO"!
Hatimaye leo zime timia;
Waziri wa Nishati na Madini
nchini Tanzania Professor Sospeter Muhongo
ametangaza rasmi kujiuzulu wadhifa wake hii leo
kufuatia kashfa ya akaunti ya Tegera Escrow.
Tutembelee MJUMBE BLOG Mtandaoni Kila mara upate Picha,Matukio,Taarifa mpya,Habari muhimu,Matukio mbali mbali.

Post a Comment