Unknown Unknown Author
Title: HII HAPA NDIYO KAULI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA;KWA VYAMA VYA SIASA NCHINI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
MSAJILI wa Vyama Vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amevitaka vyama vyote vya siasa kutekeleza wajibu wao kwa mujibu wa sheria , kat...

MSAJILI wa Vyama Vya Siasa nchini, Jaji
Francis Mutungi amevitaka vyama vyote
vya siasa kutekeleza wajibu wao kwa
mujibu wa sheria , katiba na kanuni ili
kuepusha migogoro.Aidha msajili huyo
amevitaka vyama hivyo mfano mzuri wa
kwa jamii kwa kudumisha amani na
utulivu ndani ya vyama vya siasa.


Tunashukuru kwa kututembelea

MJUMBE BLOG tunapatikana mtandaoni ingia ili Upate picha,Matangazo,Taarifa mpya,Habari muhimu kila mara.

posted from Bloggeroid

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top