Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Profesa
Ibrahim Lipumba amepandikishwa kizimbani katika
mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es
Salaam akikabiliwa na shitaka moja ya
kuwashawishi wafuasi wa chama chake kufanya
kosa la jinai.
MJUMBE BLOG ni mahala sahihi kwako kwa picha za matukio,Habari mpya,Matangazo na Taarifa mpya.
Post a Comment