Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki
katika hatua mbalimbali za mkutano wa
kimataifa wa kujadili na kuchangia upya
juhudi za kimataifa za taasisi ya Global
Alliance for Vaccines and Immunisation
(GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya
kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka
sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo
za kuzuia magonjwa mbali mbali na
wengine milioni saba wameokolewa katika
hatari ya kupoteza maisha.
Post a Comment