Pichani ni Mtoto aliye jitambulisha kama "Kesheni" akiosha Miguu kwa Mtindo wa kusugua Mguu juu ya jiwe....
Ni taswira halisi kutoka kijijini!!
Kwa walio kulia vijijini huu ni Moja wa Mtindo wa kusugua Magagana/Mjguu iliyo pasuka bila kutumia Mikono yako wala jiwe la kuburutwa kwa mikono!!
Unacho kifanya ni kuongeza Msuguano juu ya jiwe lililo majini na kumwagia maji!
Mpaka utakate!!
Sio leo Mara ubebe Dodoki la Kiwandani/Nyavu!
Jiwe la kujisugulia! Kikopo cha Kujimwagia maji!
Chombo cha maji kama hakuna bomba la mvua au Sinki la Kuogelea!!
Ni Imani yangu;
Kama Mtoto wa leo ata Ambiwa nenda uka oge pale bombani Basi ange anza Kutafuta Jiwe la kujisugulia kwanza!!
Ama ange rudi na Magagana na kusema eti '...nilikosa jiwe la Kujisugulia..'
Picha Na MTEMBEA BURE
Tutembelee MJUMBE BLOG Mtandaoni kwa picha,Matangazo,Habari mpya,Taarifa muhimu na Matukio kutoka pande mbali mbali za nchi na nje ya nchi.
Post a Comment