Unknown Unknown Author
Title: MWANAMKE AINGIA MTAANI NA GAUNI LA HARUSI KAMA ISHARA YA KUPINGA SHINIKIZO LA KUOLEWA KUTOKA KWA FAMILIA!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mwanamke mmoja nchini Misri ameamua kukatiza na gauni la arusi mitaani kupinga masimango anayokutana nayo kwa kuchelewa kuolewa. Samah...

Mwanamke mmoja nchini Misri ameamua
kukatiza na gauni la arusi mitaani kupinga masimango anayokutana nayo kwa kuchelewa
kuolewa.


Samah Hamdi mwenye miaka 27 alifikia
uamuzi huo baada ya kuchoshwa na kashfa
kutoka kwa watu wanaomzunguka ikiwemo
familia yake hasa mama yake mzazi ambao
wamekua wakimsema kutokana na kutokua na
mume mpaka sasa.

Hamdi ambaye ni mwanafunzi wa shahada ya
uzamili alisema ameamua kutembea hivyo
mitaani na kamwe hawezi kuacha dhamira
yake hiyo ikiwa kama ishara ya kupinga mila
na desturi inayowakandamiza wanawake
wasioolewa.


Samah Hamdi akiwa anatafakari jambo huku
akiwa amevaa gauni lake la harusi katika moja
ya mitaa jijini Cairo.



Tembelea MJUMBE BLOG Kwa picha,Matangazo,Habari Mpya,Taarifa muhimu kila mara na Matukio yanayo gonga vichwa vya Habari.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top