Unknown Unknown Author
Title: SHERIA NGOWI APEWA PONGEZI KWA VAZI LAKE KUTUMIWA NA RAIS MPYA WA ZAMBIA AKILA KIAPO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wakati vijana wengi nchini hukimbia Masomo ya Sekondari na Kuomba wajiunge na Masomo ya Ufundi Cherehani kama wanavyo ita!! Tena hujiunga na...
Wakati vijana wengi nchini hukimbia Masomo ya Sekondari na Kuomba wajiunge na Masomo ya Ufundi Cherehani kama wanavyo ita!! Tena hujiunga na Mafunzo hayo mtaani tu kwa baadhi ya Wajasiria mali na sio VETA wala vyuo vya Ufundi.

 Kwani wengi wao wana amini kuwa Huko ndiko ambako hata walio feli Elimu ya Msingi huwa kimbilio pekee Kijana Makini wa Kitanzania Sheria Ngowi;ame wa Proof wrong kwa kuamua kuonesha Umuhimu wa kufanya Kazi kwa Weredi na Ufahamu wa kutosha bila kuunga unga au kulipua unavyo lipa Taifa heshima!!
Shuhudia moja ya kazi ya Mikono yake iki pewa heshima nje ya Mipaka ya Tanzania!! 




Rais mpya wa Zambia, Edgar Lungu akiwa
amevaa suti maalum (Presidential
suit)iliyobuniwa na Mbunifu wa mavazi wa
Kimataifa kutoka Nchini Tanzania Sheria
Ngowi akila kiapo cha kuwa Rais Mpya
wa Zambia katika sherehe za zilizofanyika
jana asubuhi katika viwanja vya National
Heroes, mjini Lusaka-Zambia. Guy Scott,
of Scottish.

Ndugu zangu,
Nimesoma kwa kusisimkwa habari kuwa
Mbunifu wa Mavazi wa Kitanzania, Sheria
Ngowi, ndiye aliyebuni vazi la Rais Mpya
wa Zambia kama maelezo yalivyo hapa
chini.

Hakika, ni jambo la kujivunia kama taifa.
Namtakia kila la Maggi
Maggid,

MJUMBE BLOG Tuna toa Pongezi kwa Kipaji na Ubunifu wa kipekee kwa Mwanamitindo Maarufu Sheria Ngowi Kwa Uwezo mkubwa alio uonesha hata kuipeperusha vema bendera ya Taifa letu kwenye medani za Uanamitindo.

Ni imani yetu kuwa SMART WORK;PAYS.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top