Viongozi na wanachama wote wa CUF walio kuwa wame kamatwa Central Polisi wameachiwa kwa dhamana na kukabidhi
vifaa vyao walivyosalimisha awali.
Kuripoti tena ni leo saa 4.
asubuhi.
Shukrani za dhati ziwaendee mawakili
wa CUF akiwemo wakili msomi Hash
Bakari Mziray na wakili mzoefu J
Krario.
Pia shukrani kubwa ziwaendee mawaki
wengine wawili walioletwa na CHADEMA
na mmoja wa NCCR.
Tukio hil limeonesha kuwa UKAWA
inafanya kazi kama siafu. Mawaki
wengine watatu walikuwa njiani kuja
hapa CENTRAL tumewarudisha, jumla
wangekuwa saba.
Kwa uwezo wa mungu HAKI itapatika
siku moja Tanzania. Mabadiliko
mimi, wewe na yule na yanaanza sa
na yanaanzia kwako na kwangu na kwa
yule.
Mimi na wewe ndiyo tunawakilisha
Tanzania tuitakayo, tuanze sasa
tuendelee kuiunga mkono UKAWA
juhudi zake.
Kwa dhati pia niwapongeze Katibu Mkuu
wa NCCR, Mosena Nyambabe, Naibu
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika
Mkurugenzi wa Fedha wa CUF Jor
Bashange, Naibu Mkurugenzi wa Haki
Binadamu CUF Mhe. Kuruthum Mchuchu
(MP), Mjumbe wa Baraza Kuu C
Bonifasia Mapunda na Mjumbe wa Bara
Kuu mstaafu Maharagande Mbarala k
kuwepo CENTRAL POLICE hadi sasa.
Niwapongeze viongozi na wanacha
wote waliosimama kidete hadi usik
malipo yenu ni kupatikana k
Tanzania tuitakayo.
Mungu awabariki na usiku mwema.
J. Mtatiro,
27 Januari 2015,
anakumbatiana na Katibu Mkuu wa NCCR
vifaa vyao walivyosalimisha awali.
Kuripoti tena ni leo saa 4.
asubuhi.
Shukrani za dhati ziwaendee mawakili
wa CUF akiwemo wakili msomi Hash
Bakari Mziray na wakili mzoefu J
Krario.
Pia shukrani kubwa ziwaendee mawaki
wengine wawili walioletwa na CHADEMA
na mmoja wa NCCR.
Tukio hil limeonesha kuwa UKAWA
inafanya kazi kama siafu. Mawaki
wengine watatu walikuwa njiani kuja
hapa CENTRAL tumewarudisha, jumla
wangekuwa saba.
Kwa uwezo wa mungu HAKI itapatika
siku moja Tanzania. Mabadiliko
mimi, wewe na yule na yanaanza sa
na yanaanzia kwako na kwangu na kwa
yule.
Mimi na wewe ndiyo tunawakilisha
Tanzania tuitakayo, tuanze sasa
tuendelee kuiunga mkono UKAWA
juhudi zake.
Kwa dhati pia niwapongeze Katibu Mkuu
wa NCCR, Mosena Nyambabe, Naibu
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika
Mkurugenzi wa Fedha wa CUF Jor
Bashange, Naibu Mkurugenzi wa Haki
Binadamu CUF Mhe. Kuruthum Mchuchu
(MP), Mjumbe wa Baraza Kuu C
Bonifasia Mapunda na Mjumbe wa Bara
Kuu mstaafu Maharagande Mbarala k
kuwepo CENTRAL POLICE hadi sasa.
Niwapongeze viongozi na wanacha
wote waliosimama kidete hadi usik
malipo yenu ni kupatikana k
Tanzania tuitakayo.
Mungu awabariki na usiku mwema.
J. Mtatiro,
27 Januari 2015,
anakumbatiana na Katibu Mkuu wa NCCR
Baada ya kupiga picha hizi, maafisa
wa ngazi za juu wa Polisi walikuja
kuniamuru nizifute haraka kwa saba
ATI nimezipiga ndani ya jengo
polisi.
Bila ubishi nami nilizifuta mbele yao
na wakakagua na kujiridhisha kuwa
zimefutwa, kimoyomoyo nika
nachekelea kuwa Polisi wetu hawajui
kuwa Ipad zina programu maalum
kutunza kila kinachofutwa mpka
ukifute tena kwenye deleted box?
Wamenipa mgongo tu nikazi-recover
ndiyo nakuwekeeni. Ha
haaaa....wakati mwingine nasi
makachero wa kutupwa. Dawa
makachero, kuwa kachero zaidi yao.
J. Mtatiro,
Central Police,
Dsm.
Picha Profesa Lipumba akiwa ame pewa dhamana
Picha ya awali iki mwonesha Profesa Lipumba akiwa chini ya Ulinzi tayari kupelekwa Central Polisi jana.
Tembelea MJUMBE BLOG kwa matukio na picha mbalimbali.
Post a Comment