VIONGOZI wa dini za Kiislamu na Kikristo
nchini wamekubaliana kutoandaa
mihadhara inayokashifu dini moja na
nyingine, miongoni mwa madhehebu ya
dini moja au kashfa baina ya waumini na
waumini.
Lengo la makubaliano hayo ni kudhibiti
madhara ya mihadhara hiyo ambayo
imeonekana inachangia uchochezi wa
ugaidi na uvunjifu wa amani.
posted from Bloggeroid
Post a Comment