Unknown Unknown Author
Title: AMBONI,TANGA:ANGALIZO KWA MA BLOGA NA MAJUKWAA YA HABARI PICHA!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
"Si vizuri forums au Blogu kuwa wasemaji wa operation ziwe za kipolisi au kijeshi. Polisi na jeshi wana wasemaji wao.Kuzianika ho...


"Si vizuri forums au Blogu kuwa wasemaji wa
operation ziwe za kipolisi au kijeshi.
Polisi na jeshi
wana wasemaji wao.Kuzianika hovyo kwaweza
sababisha usalama wa askari walio katika
operation kuwa katika hatari au kusababisha
wahalifu walioko maeneo mengine kupata taarifa
na kutoroka nk
forum/blogu tuwe wazalendo kuhakikisha habari
za ki-operation zitoke tu kwa mamlaka husika na
si kila mtu ajirushie kwenye forums/blogu.

Nchi ni yetu
wote na ulinzi wa wananchi na ulinzi wa askari
wetu walioko katika operation yeyote ni wa kila
mtanzania mzalendo.

Ma Admin/Moderators muwe
mnaziondoa na kufuta habari kama hizi ziliketwa
na vyombo tetesi.



MJUMBE BLOG
Tuna kupongeza kwa kuweza kutumia huduma zetu.
Karibu tena Ututembelee Mtandaoni.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top