Unknown Unknown Author
Title: MAJANGA:]KIJIJI CHA ISANSA,MBOZI CHAGEUKA THELUJI YA 'CASCADES' MAREKANI!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Hali ilivyo kuwa baada ya Mvua yenye Mawe ya Theluji kunyesha kijijini Isansa,Mbozi. Hili hapa pia ni jiwe lililo tokana na Mvua hiyo. ...

Hali ilivyo kuwa baada ya Mvua yenye Mawe ya Theluji kunyesha kijijini Isansa,Mbozi.


Hili hapa pia ni jiwe lililo tokana na Mvua hiyo.



Mvua yenye Theluji ya Mawe ikiwa ime fanya uharibifu mkubwa wa mazao kwa wakulima wa kijiji cha Isansa,Mbozi.


Kijiji cha Isansa,kilichopo mwendo wa Nusu saa kutoka ulipo mji mdogo wa Mlowo,Kime kubwa na Mvua kubwa ya mawe.Iliyo sababisha Uhalibifu Mkubwa wa mazao ya wakulima.

Pichani juu ni Taswira ya jinsi Mvua hiyo ilivyo kuwa ya kipekee.



MJUMBE BLOG
Tunakupongeza kwa kuweza kututembelea mtandaoni.
Hongera

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top