Unknown Unknown Author
Title: MAREKEBISHO YA DAFTARI LA KUDUMU 'MTEMBEA BURE ATEULIWA!'!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Sio tu haki imeonekana ikitendeka... Kwa hili HAKI Imetendeka Hongera ELASTO MBELLA NGAYA. UNASTAHILI! Umepewa dhamana ya kulitumikia t...

Sio tu haki imeonekana ikitendeka...
Kwa hili HAKI Imetendeka
Hongera ELASTO MBELLA NGAYA.
UNASTAHILI!

Umepewa dhamana ya kulitumikia taifa lako.Hasa katika utoaji semina kwa watakao kuwa waandikishaji wa daftari la kudumu la kupigia kura nchini.

MJUMBE BLOG tuna kutakia kila la kheri katika kazi yako maalum iliyo mbele yako!
Kazi ya kutoa semina kama Mwelekezaji mkuu ngazi ya kata.

Kama MJUMBE BLOG tuna amini utafanya kazi kwa bidii,Weredi na Uvumilivu.

HONGERA KWA UWAKILISHI WAKO KAMA MDAU MWENZA WA MJUMBE BLOG.

Kumbuka uliko tokea mpaka leo Jitihada zako Zime onekana!! Haikuwa rahisi na kwa wanadamu hawakuweza kuona ulicho kuwa unakimaniisha katika kuelekeza nguvu zako na akili zako nyingi kama Mtumiaji mzuri wa Kompyuta...

Hawakujua kua unayatazama Mahitaji ya dunia ijayo! Na sasa huenda waka kuelewa.

HONGERA SANA kwa kuto katishwa tamaa na maneno ya Walio shindwa ambao hata wali kudhihaki,Wali kuudhi,kukejeli,kusema vibaya na hata kufikia hatua ya kukutukana wewe kama MDAU MWENZA wa Mjumbe Blog lakini hauku rudishwa nyuma kamwe umekuwa ukitazama mbele daima na kutowasikiliza walio shindwa! Wasio JIFUNZA,KUJIFUNZA!!

Wale ambao kila jambo geni ama wasilo lijua wao basi hulipinga... Wale wenye sifa zote za kitwa wasadikika!! Wanao ishi katika nchi ya KUSASIKIKA!!

Ni imani yetu;Nikatika kutenda kazi kwako kwa bidii na malengo uli amua kuthubutu.Kumbuka kuwa haya ndiyo matokeo mema ya imani ambayo jamii inayo kutazama inavyo Thamini unacho kifanya na kukupa ridhaa uwe kiongozi wao katika matumizi ya Kompyuta.

Ni imani yetu kama MJUMBE BLOG Utarudisha fadhila hizo kwa kuitumikia vema.
MWENYEZI MUNGU AKUWEZESHE.

PONGEZI SANA.
Na Tunakutakia Ujenzi wema wa taifa.

Wasalaam!
Timu ya MJUMBE BLOG.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top