Unknown Unknown Author
Title: MILO:KIJIJI CHENYE MENGI YA KUTUFUNZA KAMA TAIFA!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani ni Msitu wa asili kama unavyo onekana,Barabara kuu kuelekea kijijini Milo. Ni barabara ipatayo kilometa Kadhaa yenye msitu mnene...

Pichani ni Msitu wa asili kama unavyo onekana,Barabara kuu kuelekea kijijini Milo.


Ni barabara ipatayo kilometa Kadhaa yenye msitu mnene na wa asili.

Msitu wenye hali ya Ubaridi na upepo kama feni ipulizavyo.
Barabarani kuna wapita njia wanao tembea kwa makundi kutoka na kuingia kijijini Milo.Kwa mbali nasikia sauti za ndege naambiwa nyani walikuwepo na wamepisha shughuli za kibinadamu.
Ila Chui wapo.


Naingia kijijini hapo napokelewa na wenyeji wangu ambao ni wakarimu na wacheshi mno.Ni wenyeji wenye imani na mimi.

Nikuibie machache tu;
Milo ni kijiji ambacha kipo kilometa mia ishirini na Kenda kutokea Ulipo Mkoa wa Njombe.

Ni kijiji kilicho jengwa juu ya kilima,na kukifanya kionekane hata unapo kua kwenye baadhi ya vijiji vya pembezoni.Na kama ukiwa Milo nirahisi kuviona vijiji ambavyo viko pembezoni vema kutokea Mlimani hapo.

Kwanini MILO?
Kuna nini?
Ni maswali yatakayo pata majawabu Kupitia hapa hapa MJUMBE BLOG.


Endelea Kufuatana na Mimi ili Upate taswira halisiya kijiji na upekee wa kijiji zaidi.


Milo kama kijiji cha Tanzania ina mengi ya kutufunza.


TANGAZO:KWA WANAO HITAJI MITI AINA YA MI PAINA YENYE UMRI KUANZIA KUPANDWA HADI KUVUNWA.

NITAFUTE KWA NAMBA:0752025002
Piga tu Usi bip Tafadhari.



Na MTEMBEA BURE wetu.

Milo
Ludewa
Njombe

Tunashukuru kwa kututembelea.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top