Unknown Unknown Author
Title: OLDUVAI GORGE:IPO MAABARA YA KIHISTORIA PIA!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani mwenye track suit nyekundu ni Muhifadhi ya Makumbusho ya Maktaba ya Elimu viumbe ndg ALOYCE MWAMBWIGA Huko nyuma tumefundishwa kuw...

Pichani mwenye track suit nyekundu ni Muhifadhi ya Makumbusho ya Maktaba ya Elimu viumbe ndg ALOYCE MWAMBWIGA


Huko nyuma tumefundishwa kuwa;
HISTORIA ni hifadhi ya matukio,kumbukumbu na shughuli za nlmwanadamu wa Kale.


Ndani ya bonde la Olduvai kuna Maabala ya Kihistoria pia....

Maabala ya Historia inayo husiana na Chimbuko la mwanadamu.
Wengi wanapo sikia OLDVAI GORGE hilo hawalijui.wanacho kijua ni uwepo wa mabaki ya Makorongo ambayo wana Akiolojia wa kale na sasa hiyatumia kutafutia ushahidi wa Mabaki ya kale.
Lakini mabaki hayo yana thibithishwaje?
Hilo hawalitilii maanani.

Eneo lilipokuwa boma la Wajerumani miongo kadhaa iliyo pita pale jijini Arusha(Siku hizi panaitwa MAKUMBUSHO YA ELIMU VIUMBElina Mfano mzuri wa maabara ya Historia.
Sehemu ambayo wanahistoria huitumia kama kutolea Ushahidi wa Utafiti wao.


Ujenzi wa Maktaba unao endelea nchini ungeweza kustua wananchi kama wange elezwa kuwa miongoni mwa Maabara zitakazo jengwa katika kila shule nchini ni pamoja na Maabara ya Historia!

Nasema ingeweza kungangaza kwasababu ya hulka ya mazoea ndani ya jamii kuwa ni masomo ya sayansi pekee yenye Huhitaji uwepo wa maabala....

Nadhani wengi tuna amini hivi kwasababu huwa tuna ishia njiani kulisoma somo la Historia.Kwahiyo tuna amini Historia na Sayansi havi husiani.Lakini Ukweli ni kwamba kama Ulikuwa unafeli kemia na biolojia huko nyuma ipo siku ingekugharimu hata kama ungeamua kusomea Historia tu maana unge pewa Carbon 14 na Mabaki ya kale uambiwe uvitambue kwa aina na asili yake.Hapo unge juta kutoijua Biolojia.

Historia kwa chimbuko lake ina misingi yote ya Kisayansi na hii huweza kujidhihirisja kwenye kipengele cha Elimu viumbe.

Jiulize watafuti kama akina Dokta Leakey Walitumia misingi ipi ili kuja na ushahidi kuwa waliye mkuta Olduvai/Oldupai ni mabaki ya binadamu wa kale?
Jibu rahisi ni walitumia Ushahidi wa kisayansi!!

Na hapo ndipo wanapo sema HISTORY IS SO BEUTIFULY... ...It make can make you cry!
Oooh My God!!


MJUMBE BLOG
Tunakushukuru kwa kututembelea.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top