Unknown Unknown Author
Title: UALIMU NGAZI YA CHINI NI KAMA DEKIO....!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani ni Shati lenye nembo ile ya CWT likiwa limegeuzwa kama tambala la deki.Kama lilivyo kutwa na Mpiga picha wetu ndani ya moja ya nyum...

Pichani ni Shati lenye nembo ile ya CWT likiwa limegeuzwa kama tambala la deki.Kama lilivyo kutwa na Mpiga picha wetu ndani ya moja ya nyumba.


Ishara yenye maana kuwa;
UALIMU ni Kama Dekio la Mlangoni....!

Lina safisha kila kona ya Nyumba lakini Mwisho wa siku Huwekwa Nje kabisa ama Mlango!
Nyumba itakapo kuwa chafu Hukumbukwa na Kutumiwa tena...
Dekio Lina ijua Nyumba kuliko wageni wa angiao na kutoka ndani! Na pengine kuliko hata mwenye nyumba mwenyewe!

Lakini Hukesha nje ya nyumba! Na pengine kama Dekio likiheshimiwa sana Hutumika kuhifadhi funguo za mlango ili wenye nyumba waingiapo wasipate taabu kujua aliye shika funguo kwa mara ya mwisho aliziweka wapi?

Naam;
Haiyumkiniki
UALIMU ni kama Dekio.




MJUMBE BLOG
Tunakushukuru kwa kutumia huduma zetu.
Karibu tena.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top