Meneja kitengo cha kumaliza Malaria
Zanzibar Bw. Abdalla Suleiman Ali
akizungumza na waandishi wa habari juu
ya zoezi la upigaji dawa ya kuuwa Mmbu
wa Malaria zoezi hilo litaanza tarehe
15/02/2015 mpaka 26 kwa Unguja na
Pemba ni tarehe 28 mwezi huu, Dawa
itayotumika ni ACTELIC ambayo ipo
salama kwa binadam taarifa hiyo kaitoa
Ofisini kwake mwanakwerekwe Mjini
Zanzibar. Picha na Makame Mshenga -
Maelezo Zanzibar.
Na Makame Mshenga -Maelezo Zanzibar.
Jumla ya nyumba 34,874 zimelengwa
kupigwa dawa ya Malaria katika zoezi
linalotarajiwa kuanza februari 15 hadi 28
kwa Unguja na Pemba ni 28.
Akizungumza na waandishi wa habari
Meneja kitengo cha kumaliza Malaria
Zanzibar Bw. Abdalla Suleiman Ali
alisema.
MJUMBE BLOG
Tunakushukuru kwa kuweza kutumia huduma zetu.
Post a Comment