Unknown Unknown Author
Title: PICHA MBILI:SHUHUDIA SIMBA HUYU ALIVYO JINUSURU NA FARU WENYE HASIRA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Simba akijihami na vifaru kwa kupanda juu ya mti Katika hali isiyo kuwa ya kawaida;Simba alijikuta akikimbizwa na kundi la Vifaru wenye...

Simba akijihami na vifaru kwa kupanda juu ya mti


Katika hali isiyo kuwa ya kawaida;Simba alijikuta akikimbizwa na kundi la Vifaru wenye hasira kali ndani ya mbuga,akiwa katika harakati za kujiokoa ndipo alipo amua kurukia juu ya mti na kuwa acha mahasimu wake hao wakiwa wame mzingira chini ya mti huo.


Pichani juu Simba aki watoka Faru hao baada ya kuwa tisha na sauti yake!


Hamadi yule simba akateleza juu ya mti na kuanguka chini.

Ili kujihami aliunguruma kwa ukali zaidi na kuwa fanya Faru hao walio kuwa wame mzingira watawanyike kwa uoga.
Ndipo alipo pata upenyo na kuwa chomoka.


Naam;
Ni katika kutembelea hifadhi zetu tuna weza kujionea upekee wa kila viumbe na matukio yale ambayo sio ya kawaida kutokea na hata kama yakitokea ni nadra kujirudia tena.
Jenga Utamaduni wa kutembelea hifadhi za wanyama ndani ya nchi yako ili ufaidi uhondo wa rasha anuai ulipo katika mbuga zetu.
Credit:Picha hisani ya I LOVE AFRICA.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top