
Mhitimu akikata keki ya kusheherekea kuhitimu masomo yake ya Elimu ya juu,Moshi.

Aki mrisha keki mama yake ambaye ana ipokea kwa tabasamu lenye kila chembe ya furaha.
Ni furaha iliyoje mzazi anapo shuhudia mafanikio ya mwana/binti yake katika Elimu!!
Tukio la picha ni Disemba 2014,Moshi;Kilimanjaro.
Jioni ya kumpongeza dada yetu alipo hitimu masomo yake ya Elimu ya juu.
Naam;
Unapo hitimu masomo yako!
Ni vema kama utakumbuka kujipongeza.
Zaidi ya yote na Umu shukuru mwenye enzi MUNGU aliye kupa kudra ya kuwa hai na afya tele.
Picha na Maktaba zetu.
Post a Comment