Katika siku za hivi karibuni kumekuwepo na wimbi kubwa la viongozi wa vyama vya siasa kukimbia vyama vyao vya awali na kujiunga na vingine,Mkoni morogoro pia wame rudisha kadi za ACT na kukabidhiwa rasmi za CHADEMA,viongozi hao wallio hama ni;
Mwenyekiti wa mkoa wa Morogoro na viongozi wa wilaya ya kilombero kutoka ACT wahamia CHADEMA.

Post a Comment