Pichani ni kijiji cha Mboji,Katika Jimbo la Mbozi kata ya Itaka waki aapa mbele ya Mgombea ubunge ndugu Pascal Y Haonga kuwa pigia kura UKAWA/CHADEMA.
Sehemu ya Umati ya wanakijiji cha Mboji katika jimbo la Mbozi walio jitokeza kumsikiliza Pascal Haonga kwenye kampeni zake.
Kiongozi Mwandamizi BAVICHA Mkoa wa Mbeya na aMjumbe wa halmashauri kuu CHADEMA ndugu Gwamakha Mbughi akitoa nasaha kwa wananchi wa kijiji cha Mboji walio jitokeza kumsikiliza mgombea wa CHADEMA ndugu Pascal Haonga.
...Pamoja na kuongea mengi,ujumbe mzito alio utoa kwa wanakijiji hao ni kuwa;
'...nina waomba mumchague ndugu Pascal Haonga awe mbunge wenu kwa miaka mitano tu! Lakini kama katika miaka hiyo mitano hata tekeleza yote yale anayo waahidi leo tafadhari musije mkampitisha tena awamu ya pili,Mchagueni mtu mwingine atakaye kuwa tayari kuwa tumikia wana Mbozi na sio kuwa danganya kwa ahadi hewa na zisizo tekelezeka...'
Meneja Kampeni ndugu Sinyamanza akimnadi Mgombea kwa wana kijiji cha Mboji.
Pichani ni Mlea chema ndugu Mwasenga anajulikana sana na vijana kama "MJOMBA" akiwa waomba wana kijiji cha Mboji wasije waka fanya makosa.
Yeye hataki afaidi manufaa ya mtoto wake pekee yake,bali anataka kila mwananchi wa Mbozi aionje ladha ya mgombea huyo kwa kura yake mwenyewe.
Pichani ni Mwanachi wa kijiji cha Mboji(Jina halikuweza kupatikana mara moja) akiwakubusha wana Mboji jinsi wanavyo tukanwa,kutishiwa na kunyanyasika kwenye kijiji na kata yao kama sio wana nchi.
PICHA ZAIDI ZA MATUKIO KWENYE KATA YA ITAKA KATIKA VIJIJI VYA BARA NA MBOJI ZITAZAME HAPA:
Picha zote hisani ya ripota wetu toka eneo ya tukio.

Post a Comment