Unknown Unknown Author
Title: WALICHO KIFANYA MASHABIKI WA YANGA,CHAMFANYA JERI MURO AWAOMBE RADHI MASHABIKI WOTE NCHINI....!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
'Ndugu zangu mashabiki wa mpira wa miguu wanachama na wapenzi mashabiki wa Yanga, mashabiki wa Simba, mashabiki wa Mtibwa mashabiki ...



'Ndugu zangu mashabiki wa mpira wa miguu wanachama na wapenzi mashabiki wa Yanga, mashabiki wa Simba, mashabiki wa Mtibwa mashabiki wa Azam, mashabiki wa Toto africa''

Kama ilishawahi kutokea sehemu yanga wakaenda kushangilia Tp mazembe na kwa kuwa tunajua kumbukumbu zinaonyesha hivyo na kuna picha zinaonyesha hivyo basi sisi kwa niaba ya wanachama wetu na kwa niaba ya wapenzi wetu tunaomba radhi kwa kitendo hichoo!!

Jeri Muro

Chanzo: EFM redio.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top