Unknown Unknown Author
Title: WAZIRI MKUU MSTAAFU NDG EDWARD LOWASSA AWAFUTURISHA VIONGOZI WAANDAMIZI CHADEMA NA BAADHI YA WAKAZI WA JIJINI DAR ES SALAAM!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Mhe. Edward Lowassa leo Jumatatu 27/06/2016 amewafuturisha wakazi waishio katika ji...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Mhe. Edward Lowassa leo Jumatatu 27/06/2016 amewafuturisha wakazi waishio katika jiji la Dar es salaam wakiwemo viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali.
C&P

Picha zaidi...!


Mhe.Edward Lowasa akiteta jambo na baadhi ya viongozi waandamizi wa CHADEMA katika viwanja hivyo


Mhe.Edward Lowassa akishiriki katika futari na baadhi ya wakazi na viongozi waandamizi jijini Dar es salaam 27 June 2016

m

Picha zaidi 

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top