Vijana walio wengi wana amini kufanya Hip pop ni kuimba mziki wa kufoka tu.Kwahiya anapo sema mimi ni mwana Hip Pop ana maanisha ni wachanaji au wafokaji.Kama wanavyo jiita "Nyeusi Ngumu".
Hawa jui kuwa Hip Pop ni mfumo wa maisha wa mtu.Yaani vile unavyo ishi ndivyo unavyo fanya Hip Pop yenyewe.Vijana wana taka jana amalize chuo,Leo ajenge nyumba na Kesho aendeshe Raange rover ama V8 lake.Wapo tiari kucheza kamari na kuliwa laki moja,Lakini hawawezi kutembeza Chai au Uji mtaa kwa mtaa(Door to Door) ili wachangishe mia mia!
Kwasababu nina fanya mitindo huru maishani mwangu.... Siku za usoni kama nita pata Frame humu kwenye gazeti letu tando ama kwenye ukurasa wetu wa face book wa MJUMBE BLOG nifungue darasa au Skuli ya Hip pop.
Maana siku hizi kila anaye pata frame au Goli mjini lazima anafungua Duka la Nguo za kike Botik au Ana kuwa wakala wa M pesa.Mimi nianza na Darasa la Hip pop kwanza.
ANGALIZO:Skuli yangu ya Hip Pop sita ifuta ziro.Ziro ipo pale pale.Ila nita hakikisha nina ifuta idadi ya wasio zijua nguzo Tano za Hip Pop.Ita endelea...
Na:Sr
Near Liganga
Amani Ville
MTINDO HURU:HIP POP NI MFUMO WA MAISHA!!!
Title: MTINDO HURU:HIP POP NI MFUMO WA MAISHA!!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Vijana walio wengi wana amini kufanya Hip pop ni kuimba mziki wa kufoka tu.Kwahiya anapo sema mimi ni mwana Hip Pop ana maanisha ni wachanaj...
Post a Comment