Unknown Unknown Author
Title: SOSPETER MUHONGO SI MKWELI! MENGI ASEMA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mwenyekiti Mtendaji wa Mkapmuni ya IPP Ndg Reginald Mengi Amesema kauli zilizo tolewa na Waziri wa Nishati na Madini Mheshimiwa Sospeter ...

Mwenyekiti Mtendaji wa Mkapmuni ya IPP Ndg Reginald Mengi Amesema kauli zilizo tolewa na Waziri wa Nishati na Madini Mheshimiwa Sospeter Muhongo si za kweli.
Mengi alitoa taarifa yake katika vyombo vya habari na kueleza kuwa waziri huyo ni mtu mwenye kusema uongo.Kauli amabayo anaitoa zikiwa zimepita siku mbili tangu waziri huyo kudai kuwa Mengi ana miliki Vitalu vingi vya Gesi kwamba anataka kupewa upendeleo wa kupewa wakati hana uwezo wa kuviendeleza.
Mengi Alisema "Siku tegemea kama ata endeleza vita zidi yangu.Mtu huyu ana hulka ya kusema Uongo,amewahi Wa ahaidi wa Tanzania kuwa  hakuta kuwa na Mgawo wa Umeme Lakini Upo Mpaka sasa.
Anasema ;Nina milikiMigod mingi ya Madini Ukweli ni kwamba mimi na miliki kwa ubia wa wa Tanzania wenzagu mgodi Mmoja wa Uchimbaji wa Madini.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top