Unknown Unknown Author
Title: WATU NA OFISI ZAO BWANA! SALUTE SANA WAPIGANAJI POPOTE PALE MLIPO!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mdogo wangu Theofrida,nakumbuka kuna mwaka amewahi nambia "kaka yani Fedha huwa haitoshi ksmwe.Kila unapo ongeza kipato na matumizi yak...
WATU NA OFISI ZAO BWANA! SALUTE SANA WAPIGANAJI POPOTE PALE MLIPO!
WATU NA OFISI ZAO BWANA! SALUTE SANA WAPIGANAJI POPOTE PALE MLIPO!

Mdogo wangu Theofrida,nakumbuka kuna mwaka amewahi nambia "kaka yani Fedha huwa haitoshi ksmwe.Kila unapo ongeza kipato na matumizi yake  yanaongezeka! Maneno haya ali yaongea Zamani sana naamini yeye…

Read more »
31 Aug 2014

Unknown Unknown Author
Title: PICHA ZAIDI YA KUMI ZIKI ANGAZIA MITAA YA MJI WA NJOMBE;JICHO LISILO SHOBOKEA MAGHOROFA KAMERA YA MJUMBE BLOG YA ANIKA MENGI KUPITIA TAA KWA MTAA KAMPENI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kama Kweli Kwenye kila mTI mMOJA Mulio ukata Mlipanda Mpya Hongereni,Lakini Kama Mlichepuka na Kupuuza Mimi sina mengi zaidi ya hayo! Hapa...
PICHA ZAIDI YA KUMI ZIKI ANGAZIA MITAA YA MJI WA NJOMBE;JICHO LISILO SHOBOKEA MAGHOROFA KAMERA YA MJUMBE BLOG YA ANIKA MENGI KUPITIA TAA KWA MTAA KAMPENI!

Kama Kweli Kwenye kila mTI mMOJA Mulio ukata Mlipanda Mpya Hongereni,Lakini Kama Mlichepuka na Kupuuza Mimi sina mengi zaidi ya hayo! Hapa Jamaa wa Boda Boda ametema Kazi eti hawezi Kunifikisha Ng'am…

Read more »
31 Aug 2014

Unknown Unknown Author
Title: HUYU HAPA NDIYE ALIYE TWAA MILIONI 50 ZA TANZANIA MOVIE TALENT!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mwanaafa ndiyo mmbabe wa TMT na ndiyo alikuwa mdogo kuliko wato katika kinyang'anyilo hicho za Mil 50. Mshiriki kutoka Kanda ya Kusi...
HUYU HAPA NDIYE ALIYE TWAA MILIONI 50 ZA TANZANIA MOVIE TALENT!
HUYU HAPA NDIYE ALIYE TWAA MILIONI 50 ZA TANZANIA MOVIE TALENT!

Mwanaafa ndiyo mmbabe wa TMT na ndiyo alikuwa mdogo kuliko wato katika kinyang'anyilo hicho za Mil 50. Mshiriki kutoka Kanda ya Kusini, Mwanaafa Mwinzago amefanikiwa kuibuka kidedea na kutwaa shili…

Read more »
30 Aug 2014

Unknown Unknown Author
Title: TANZANIA YAPATA MEDALI YA DHAHABU YA KWANZA! MJUE ALIYE IPA HESHIMA HIYO NCHI YETU HAPA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Dar es Salaam. Mwanariadha wa Tanzania, Sabas Daniel ameibuka kinara kwenye fainali ya kurusha mkuki na kutwaa medali ya dhahabu kwenye ma...
TANZANIA YAPATA MEDALI YA DHAHABU YA KWANZA! MJUE ALIYE IPA HESHIMA HIYO NCHI YETU HAPA!
TANZANIA YAPATA MEDALI YA DHAHABU YA KWANZA! MJUE ALIYE IPA HESHIMA HIYO NCHI YETU HAPA!

Dar es Salaam. Mwanariadha wa Tanzania, Sabas Daniel ameibuka kinara kwenye fainali ya kurusha mkuki na kutwaa medali ya dhahabu kwenye mashindano ya Shule za Sekondari za Jumuiya ya Afrika Mashariki…

Read more »
30 Aug 2014

Unknown Unknown Author
Title: TASWIRA KUTOKA KIJIJINI:"MKULIMA USILE MBEGU" UTATUUA NJAA! HIZI NI PICHA ZILIZO PIGWA KWA WAKATI TOFAUTI,NA VIJIJI TOFAUTI NCHINI KATI YA 2012 NA 2014!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mahindi ya Mbegu haya yakiwa yame hifadhiwa Vizuri Kabisa Kijijini kwa ajili ya Msimu uJAO Kitu cha Mtama Kimehusika Pichani juu Hapa kik...
TASWIRA KUTOKA KIJIJINI:"MKULIMA USILE MBEGU" UTATUUA NJAA! HIZI NI PICHA ZILIZO PIGWA KWA WAKATI TOFAUTI,NA VIJIJI TOFAUTI NCHINI KATI YA 2012 NA 2014!

Mahindi ya Mbegu haya yakiwa yame hifadhiwa Vizuri Kabisa Kijijini kwa ajili ya Msimu uJAO Kitu cha Mtama Kimehusika Pichani juu Hapa kiki subirishia Msimu Ufike Kumewahi Kuwepo Hadidhi ya Mkulima al…

Read more »
30 Aug 2014

Unknown Unknown Author
Title: PICHA KUTOKA MBELE:SHABIKI WA MASUMBWI AME CHENJI DIET!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Taswira ya Uwanja wa Virginia Tech 30 Augost 2014,Marekani Kama Ulivyo Rushwa na Mdau #SONGO! Swali Hapa ni Mwenzetu Huyu ameanza lini...
PICHA KUTOKA MBELE:SHABIKI WA MASUMBWI AME CHENJI DIET!

Taswira ya Uwanja wa Virginia Tech 30 Augost 2014,Marekani Kama Ulivyo Rushwa na Mdau #SONGO! Swali Hapa ni Mwenzetu Huyu ameanza lini Kuwa Shabiki wa Kandanda? Maana Tusha Mzoea Kwenye Masumbwi! Nao…

Read more »
30 Aug 2014

Unknown Unknown Author
Title: SCENE TWO,PICHA ZAIDI YA TATU ENZI ZA UHAI WA BETTY KABLA HAJAFIKWA NA UMAUTI ULIO ZUA UTATA:IJUE SABABU ILIYO MFANYA ATUKANWE TWITER... ...ALIBAKWA NA KUACHWA MTARONI HUKU AKIWA HANA FAHAMU!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kabla ya kupoteza uhai wake Betty alikutana na manyanyaso makubwa kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter ambapo alitukanwa matusi mazito ya n...
SCENE TWO,PICHA ZAIDI YA TATU ENZI ZA UHAI WA BETTY KABLA HAJAFIKWA NA UMAUTI ULIO ZUA UTATA:IJUE SABABU ILIYO MFANYA ATUKANWE TWITER... ...ALIBAKWA NA KUACHWA MTARONI HUKU AKIWA HANA FAHAMU!

Kabla ya kupoteza uhai wake Betty alikutana na manyanyaso makubwa kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter ambapo alitukanwa matusi mazito ya nguoni. Inasemekana chanzo cha matusi hayo ni kauli ya marehe…

Read more »
30 Aug 2014

Unknown Unknown Author
Title: KAMERA YETU:TASWIRA YA MITAA MBALI MBALI NJOMBE LEO MCHANA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Hodi Njombe,Ujumbe Hapo Juu Unajieleza! Hapa Nali Tazama Soko lenye Mseto wa Bidhaa mkabala na Vibanda vya CCM Nawaona wazee wa Boda Bo...
KAMERA YETU:TASWIRA YA MITAA MBALI MBALI NJOMBE LEO MCHANA!

Hodi Njombe,Ujumbe Hapo Juu Unajieleza! Hapa Nali Tazama Soko lenye Mseto wa Bidhaa mkabala na Vibanda vya CCM Nawaona wazee wa Boda Boda wame Tega Abiria wanao Tokea Sokoni Uelekeo wa Makambako Bara…

Read more »
30 Aug 2014

Unknown Unknown Author
Title: BUNGE MAALUM LA KATIBA LABURUTWA KWA PILATO:HII HAPA NDIYO TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI ILIYO TOLEWA NA SAID KUBENEA KUHUSU KESI YA KUSTISHA BUNGE LA KATIBA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Said Kubenea Akifafanua Jambo kwa Waandishi wa Habari Mmoja wa wakiri katika kesi hiyo, Mabere Marando akifafanua kitu katika mkutano huo ...
BUNGE MAALUM LA KATIBA LABURUTWA KWA PILATO:HII HAPA NDIYO TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI ILIYO TOLEWA NA SAID KUBENEA KUHUSU KESI YA KUSTISHA BUNGE LA KATIBA!

Said Kubenea Akifafanua Jambo kwa Waandishi wa Habari Mmoja wa wakiri katika kesi hiyo, Mabere Marando akifafanua kitu katika mkutano huo TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 30 Agosti 2014 Ndugu waandishi …

Read more »
30 Aug 2014

Unknown Unknown Author
Title: PICHA HALISI NA MAELEZO:JIFUNZE MENGI KUHUSU UGONJWA WA EBOLA HAPA! KINGA NI BORA KULIKO TIBA.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ebola ni ugonjwa wa hatari unaosababishwa na virusi vijulikanavyo kwa lugha ya kitaalamu “Ebola Virus”. ugonjwa wa damu kuto Ugonjwa huu...
PICHA HALISI NA MAELEZO:JIFUNZE MENGI KUHUSU UGONJWA WA EBOLA HAPA! KINGA NI BORA KULIKO TIBA.

Ebola ni ugonjwa wa hatari unaosababishwa na virusi vijulikanavyo kwa lugha ya kitaalamu “Ebola Virus”. ugonjwa wa damu kuto Ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa yajulikanayo kwa ujumla kama Homa za …

Read more »
30 Aug 2014

Unknown Unknown Author
Title: SITTA;BUNGE LA KATIBA LINA MAMLAKA MAKUBWA KULIKO TUME YA WARIOBA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya watu na taasisi kadhaa kudai kitendo cha Bunge Maalumu la Katiba kupokea maoni ya wananchi na kuyaongeza kwenye rasimu ya Katiba...
SITTA;BUNGE LA KATIBA LINA MAMLAKA MAKUBWA KULIKO TUME YA WARIOBA!
SITTA;BUNGE LA KATIBA LINA MAMLAKA MAKUBWA KULIKO TUME YA WARIOBA!

Baada ya watu na taasisi kadhaa kudai kitendo cha Bunge Maalumu la Katiba kupokea maoni ya wananchi na kuyaongeza kwenye rasimu ya Katiba mpya, ni kuingilia kazi ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mwe…

Read more »
29 Aug 2014

Unknown Unknown Author
Title: UHARIFU:MAJAMBAZI WAMBAKA MWALIMU NA KUPORA MILIONI 20!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Watu wanaosadikiwa kuwa majambazi wamemteka na kumvamia mwalimu mmoja na kumpora kiasi cha zaidi ya Sh milioni 20 na kisha kumbaka mwalim...
UHARIFU:MAJAMBAZI WAMBAKA MWALIMU NA KUPORA MILIONI 20!
UHARIFU:MAJAMBAZI WAMBAKA MWALIMU NA KUPORA MILIONI 20!

Watu wanaosadikiwa kuwa majambazi wamemteka na kumvamia mwalimu mmoja na kumpora kiasi cha zaidi ya Sh milioni 20 na kisha kumbaka mwalimu mwingine wa kike katika kijiji cha Nassa Ginery wilayani Bu…

Read more »
29 Aug 2014

Unknown Unknown Author
Title: UINGEREZA YAKUMBWA NA TISHIO LA UGAIDI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Waziri mkuu nchini Uingereza David Cameron Serikali ya Uingereza inasema kuwa matukio yanayoshuhudiwa nchini Iraq na Syria yameong...
UINGEREZA YAKUMBWA NA TISHIO LA UGAIDI
UINGEREZA YAKUMBWA NA TISHIO LA UGAIDI

Waziri mkuu nchini Uingereza David Cameron Serikali ya Uingereza inasema kuwa matukio yanayoshuhudiwa nchini Iraq na Syria yameongeza tishio la kufanyika kwa mashambulizi ya kigaidi nchini Uingereza.…

Read more »
29 Aug 2014

Unknown Unknown Author
Title: SCENE ONE KIFO CHA BETTY:UKISOMA MACHOZI YATAKULENGA...! KAMA NI MWOGA WA MABADIRIKO,HUTA DIRICK KUITUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUTOA MAONI YAKO BINAFSI TENA! INGIA HAPA...!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Malisa Godlisten BEHIND THE SCENE; KIFO CHA BETTY.! Ninaandika makala hii nikitambua bayana kuwa itamuudhi kila mtu anayeingia mtandaoni...
SCENE ONE KIFO CHA BETTY:UKISOMA MACHOZI YATAKULENGA...! KAMA NI MWOGA WA MABADIRIKO,HUTA DIRICK KUITUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUTOA MAONI YAKO BINAFSI TENA! INGIA HAPA...!
SCENE ONE KIFO CHA BETTY:UKISOMA MACHOZI YATAKULENGA...! KAMA NI MWOGA WA MABADIRIKO,HUTA DIRICK KUITUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUTOA MAONI YAKO BINAFSI TENA! INGIA HAPA...!

Malisa Godlisten BEHIND THE SCENE; KIFO CHA BETTY.! Ninaandika makala hii nikitambua bayana kuwa itamuudhi kila mtu anayeingia mtandaoni kwa minajili ya kuwanyanyasa wengine. Lakini siku zote ninaami…

Read more »
29 Aug 2014

Unknown Unknown Author
Title: MJI GHALI ZAIDI UPO BARA LA AFRIKA! BOFYA UUJUE HAPA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
1. Luanda Mji mkuu wa Angola, Luanda, sio tu ghali zaidi barani Afrika, bali duniani kote pia. Angola ni moja ya nchi zinazozalisha mafuta...
MJI GHALI ZAIDI UPO BARA LA AFRIKA! BOFYA UUJUE HAPA!
MJI GHALI ZAIDI UPO BARA LA AFRIKA! BOFYA UUJUE HAPA!

1. Luanda Mji mkuu wa Angola, Luanda, sio tu ghali zaidi barani Afrika, bali duniani kote pia. Angola ni moja ya nchi zinazozalisha mafuta kwa wingi barani Afrika, na tangu mwaka 2002, wafanyakazi wa…

Read more »
29 Aug 2014

Unknown Unknown Author
Title: HONGERA CHIHAYA! HONGERA SONGO! HONGERA ULIYE WAHI KUWA MWALIMU WA ILEJE;KWA KUFIKA SALAMA NCHI ZA WENYEWE!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Richard Ngaya,Akiwa Ndani ya Uzi wa Taifa lake Tayari kwa Kuanza Mhula wake wa Masomo ya Uzamivu,Marekani Picha ya Hivi Karibuni alipo ku...
HONGERA CHIHAYA! HONGERA SONGO! HONGERA ULIYE WAHI KUWA MWALIMU WA ILEJE;KWA KUFIKA SALAMA NCHI ZA WENYEWE!

Richard Ngaya,Akiwa Ndani ya Uzi wa Taifa lake Tayari kwa Kuanza Mhula wake wa Masomo ya Uzamivu,Marekani Picha ya Hivi Karibuni alipo kuwa na Familia yake Morogoro,Tanzania Siku Chache Kabla ya Kuan…

Read more »
29 Aug 2014

Unknown Unknown Author
Title: KUFURU:KAMA ULIKUWA HAUJUI HIKI NDICHO KIASI ANACHO LIPWA HASHEEM THABEET,YULE BASKERT BALLER WA STATE KWA MWEZI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Hasheem Thabeet is a Tanzanian professional basketball player who last played for the Oklahoma City Thunder of the NBA. and now sold to 76e...
KUFURU:KAMA ULIKUWA HAUJUI HIKI NDICHO KIASI ANACHO LIPWA HASHEEM THABEET,YULE BASKERT BALLER WA STATE KWA MWEZI!
KUFURU:KAMA ULIKUWA HAUJUI HIKI NDICHO KIASI ANACHO LIPWA HASHEEM THABEET,YULE BASKERT BALLER WA STATE KWA MWEZI!

Hasheem Thabeet is a Tanzanian professional basketball player who last played for the Oklahoma City Thunder of the NBA. and now sold to 76ers Sixers. This Guy is now one Tanzanian Most Paid, His mont…

Read more »
29 Aug 2014

Unknown Unknown Author
Title: KUHUSU MKURUNGENZI WA TBS ALIYE HUKUMIWA MIAKA MITATU JELA,NA FAINI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu kifungo cha mwaka mmoja jela Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Viwango Tan...
KUHUSU MKURUNGENZI WA TBS ALIYE HUKUMIWA MIAKA MITATU JELA,NA FAINI!
KUHUSU MKURUNGENZI WA TBS ALIYE HUKUMIWA MIAKA MITATU JELA,NA FAINI!

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu kifungo cha mwaka mmoja jela Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Charles Ekelege na kumwamuru kurejesha Dola za M…

Read more »
29 Aug 2014

Unknown Unknown Author
Title: PICHA:TUKIO ZIMA LA AJALI ILIYO UA KUMI NA WATOTO WAWILI,MBALIZI MBEYA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani ni Hali ya Daladala Ilivyo kuwa mara tu baada ya Kupata Ajali Mwonekano wa Dalalada Upande huu Umati wa Mashuhuda wa Ajali Ma...
PICHA:TUKIO ZIMA LA AJALI ILIYO UA KUMI NA WATOTO WAWILI,MBALIZI MBEYA!

Pichani ni Hali ya Daladala Ilivyo kuwa mara tu baada ya Kupata Ajali Mwonekano wa Dalalada Upande huu Umati wa Mashuhuda wa Ajali Majeruhi wakipatiwa huduma Picha Zaidi ya Tukio Husika... WATU kumi…

Read more »
29 Aug 2014

Unknown Unknown Author
Title: LORI LAIPALAMIA BUS LA ABIRIA AINA YA TOYORA COSTA MLOWO MBOZI NA KUIPIGA PASI...!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Accident hiyo imetokea maeneo ya stand ya kwenda Tunduma ambapo chanzo chake ni kukosa umakini kwa dereva wa bus la abiria ambaye alikua ana...
LORI LAIPALAMIA BUS LA ABIRIA AINA YA TOYORA COSTA MLOWO MBOZI NA KUIPIGA PASI...!

Accident hiyo imetokea maeneo ya stand ya kwenda Tunduma ambapo chanzo chake ni kukosa umakini kwa dereva wa bus la abiria ambaye alikua anatoka bila kuangalia gari linalokuja na kusababisha accident …

Read more »
29 Aug 2014
 
Top