Unknown Unknown Author
Title: IMEANZISHWA KAMPENI YA KUKEMEA ZIDI YA UKATILI NA UNYAMA UNAO FANYWA NA JESHI LA POLISI LINAPO TEKELEZA WAJIBU WAKE WA KULINDA AMANI NDANI YA JAMII!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Huu ni Ujumbe ulio bebwa kwenye Mabango kama ishara ya Kupinga Ukatili na nguvu kubwa inayo tumiwa na vyombo vya dola nchini kuwa dhibiti r...

Huu ni Ujumbe ulio bebwa kwenye Mabango kama ishara ya Kupinga Ukatili na nguvu kubwa inayo tumiwa na vyombo vya dola nchini kuwa dhibiti raia pindi wanapo fanya maandamano.


Bango lenye ujumbe Likiwa lime bebwa na Mmoja wa vijana MPINGA UNYANYASAJI na NGUVU KUBWA inayo tumiwa na vyombo vya dola kwa raia Wake!


Moja ya gari za Polisi zilizo tumiwa na Askari hao kutawanya wafuasi wa CUF kwa nguvu hata kumu dharirisha Mwenyekiti wa chama kwa kipigo.


Pichani ni Miongoni mwa Vijana walio amua Kulalamikia Utendaji Mbovu wa vijana wa jeshi la Polisi ambapo wamekuwa wakisababisha Majeraha,Vifo na hata Malalamiko yasiyo ya Lazima kwa raia wanapo tekeleza kazi zao.


Vijana hao Wame kaririwa Wakisema;

".... Kutokana matumizi makubwa na unyanyasaji
unaofanywa jeshi la polisi dhidi ya RAIA wanyonge
na wanasiasa wa UPINZANI huku mafisadi
wakilindwa kwa nguvu zote, tumanzisha kampeni
maalum inayoenda kwa jina la Polisi PIGA
MAFISADI, USIPIGE WANYONGE.
Unaweza kujiunga na ukurasa was kampeni hii kwa
ku- like ukurasa wake Facebook au kujiunga na
group la kampeni hii Keisha PIGA PICHA YAKO
UKIWA UMESHIKA BANGO LENYE MAANDISHI
"POLISI PIGA MAFISADI, USIPIGE WANYONGE" na
kuituma kwenye ukurasa wa kampeni hii facebook
na group lake na mitandao yote ya kijamii.

Pia unaweza kupost picha mbali mbali
zinazoonyesha uvunjaji wa haki unaofanywa name
jeshi la polisi kola kona ya nchi ya Tanzania na
picha zinazoonyesha jinsi mafisadi wanavyolindwa
name serikali kupitia vyombo vya dola.

#POLISI PIGA MAFISADI, USIPIGE WANYONGE#"



Una weza Ku SHARE ili Ujumbe huu Uwafikie Wengi.


MJUMBE BLOG kwa picha,Matangazo,Habari,Matukio kutoka kila Upande kila mara.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top