[imAlamsik
Malisa Godlisten - KESHO NANUNUA
BUNDUKI..!!
Kwa yaliyotokea jana dhidi ya wafuasi wa CUF
nashawishika kusema Polisi wa Tanzania ni jeshi
la hovyo sana kuliko Polisi wote duniani.
Nilipotembelea Lusaka mwaka juzi nilifanikiwa
kufika makao makuu ya Polisi Zambia.. Nje
wameweka maandishi "ZAMBIA POLICE
SERVICE"... lakini Tanzania Polisi wanaitwa
"TANZANIA POLICE FORCE"... Yani Zambia Polisi
ni huduma (service) lakini Tanzania Polisi ni Jeshi
(force).. Tena jeshi la mauaji..
Hawana tofauti na askari waasi wa LRA kule
Uganda au Magaidi wa Bokko Harram kule
Nigeria. Kama Bokko Harram wanaua bila hatia,
Polisi wa Tanzania nao wanaua raia bila hatia;
sasa tofauti yao na Bokko Harram ni ipi?
Nimeona watu wakiamrishwa kupanda
"karandinga" la Polisi na wakatii bila shuruti lakini
bado wakapigwa.. Sheria inamtaka askari kutumia
nguvu pale tu inapobidi.. Yani pale ambapo
anamwambia mtu afanye jambo fulani akakataa
kutii ndipo Polisi anaweza kutumia nguvu. Tena
sheria inasema reasonable force.
Lakini jana watu wameambiwa wapande kwenye
gari wakatii na kupanda, lakini bado wakapigwa
tena kipigo cha kikatili kama wanyama.. Hakuna
reasonable force iliyotumika.!
Hii si sawa hata kidogo.. Naitahadharisha serikali
ya CCM juu ya matumizi ya nguvu kwa askari
wake.. Ipo siku wananchi watachoka na kuamua
kuprotest.. Hivi imagine jana kama kila
mwananchi angeamua kumchoma kisu askari
mmoja tungekuwa tunazika askari wangapi leo??
Mbona serikali (ya CCM) inatulazimisha kuwa
waasi kwenye nchi yetu wenyewe?? Makundi
mengi ya waasi yameanzishwa baada ya
manyanyaso ya muda mrefu kama haya...
NASISITIZA: Serikali ya CCM isipoacha uhuni huu
wa kutumia nguvu mahali pasipotakiwa nguvu,
nchi hii itakuwa zaidi ya Somalia.!!
Kesho nanunua bunduki.. Alamsik

Post a Comment