Ni Mandhari Safi yanayo toa huduma za afya bora nchini.
Nime ingia nikiwa Sakafu ya chini kabisa ghafla nika jikuta niko juu hapa.
Nikitazama Mandhari ya nje yenye Mwonekano Safi na Wenye kuvutia kama onavyo onekana pichani
Anaye bisha kuwa Kilimanjaro;Moshi ni jiji lenye Mvuto analo lake linalo mkereketa tu.
Moshi Pazuri mno kwa kuishi!! Na nipazuri zaidi kwa Kutembelea kama mtalii wa ndani,kwa kutumia wenyeji wake wenye roho za Ukarimu!!
Picha maktaba ya MJUMBE BLOG.
Post a Comment