Siku Mbili tu. Baada ya profesa
Sospeter Muhongo
kujihuzuru nafasi ya
waziri wa nishati na madini
JanaTume ya Ramani na Madini Miamba
na Mawe Duniani yenye makao makuu
nchini Uingereza imemteua profesa Muhongo kuwa mtendaji mkuu wa tume
hiyo pia atafanya kazi kwenye kampuni
inayopasua miamba diniani kama
mwenyekiti.
Tutembelee Mtandaoni kwa kuandika MJUMBE BLOG ingia hapo ili upate picha,Matangazo,Habari mpya,Taarifa muhimu kila mara na matukio mbali mbali.
Post a Comment