Meneja wa Mbuga ya wanyama ya Selous,
Benson Kibonde akimpatia maelezo
kuhusu masalia ya injini ya mvuke
iliyoachwa na Wajerumani, kwa Waziri wa
Maliasili na Utalii Lazao Nyalandu
(kushoto), waziri huyo alipofika katika
mbuga hiyo, kufanya shughuli mbalimbali
ikiwemo kupokeavifaa vya kukabiliana na
ujangili vilivyotolewa na serikali za
Marekani na Ujerumani kwa ajili ya
Mbuga ya Selous leo.
Maelezo kuhusu masalia hayo ya injini
hiyo ya moshi iliyoachwa na wajerumani
Benson Kibonge.
Waziri Nyalandu akitembela maeneo
mbalimbali ya mbuga hiyo ya Selous
kabla ya kukabidhiwa vifaa hivyo ya
kukabiliana na ujangili katika mbuga ya
wanyama ya Selous leo. anayemuongoza
na Meneja wa mbuga hiyo.
Tutembelee MJUMBE BLOG Mtandaoni kila mara kwa matukio picha,Taarifa mpya,Habari muhimu,Matangazo kila mara.
posted from Bloggeroid
Post a Comment