Wanahabari wakitazama Kimondo.
Mhifadhi akionyesha jiko ambalo
linatumika eneo hilo.
Hiki ndicho kimondo kina tani 12
MKOA wa mbeya umepania kuboresha
miundo ya kituo cha mambo ya kale
cha Kimondo wilayani Mbozi mkoani
hapa iwapoIdara ya Mambo ya
kale iliyopo chini ya Wizara ya Maliasili
na Utalii itakubali ombi la mkoa huo
kukabidhi kivutio Halmashauri ya
Mbozi.
Hatua hiyo imekuja kufuatilia ziara ya
wanahabari mkoani Iringa wanaotembelea
vivutio vya utalii mikoa ya Mbeya,
Njombe na Iringa kama njia ya
kuhamasisha utalii mkoa ya nyanda za
juu kusini na pia kubaini sababu za
utalii kutokua kwa kasi katika mikoa
hiyo.
Tembelea MJUMBE BLOG mtandaoni kila mara kwa Matukio picha,Matangazo,Habari mpya,Taarifa muhimu
Post a Comment