Na Jacob Malihoja
Kwa muda mrefu sana Watu wamekuwa wakitoa
tuhuma mbali mbali dhidi ya Lowassa, kuna watu
wameamini na katika hao walioamini wengine
wamejidhihirishia kabisa wanachoamini ni kweli na
wanashiriki kwa nguvu nyingi kusambaza tuhuma
hizo bila kujua msingi wake. Kuna watu
hatujaamini na sababu zetu ni kuwa hakuna
ushahidi, kuna uwezekano ni majungu kwasababu
kila anayesema hatoi ushahidi zaidi ya bla bla bla
zilizojaa maoni yake binafsi. Kwasababu
mnatusimulia sisi tuhuma hizo, Lowassa kafanya
hili, kafanya lile basi ni haki yetu ya msingi kupata
uthibitisho wa tuhuma hizo. Tunataka
mtuthibitishie ili tusiendelee kuamni kuwa ninyi ni
watu wa majungu, mabingwa wa kupika uongo,
mabingwa wa kutengeneza chuki na uongo ndio
mhimili wa maisha yenu.
TUNATAKA MTUTHIBITISHIE HAYA;
Lowassa aliiba nini,
Lowassa aliiba wapi,
Lowassa aliiba kiasi gani
Lowassa aliiba lini
Baada ya kutaja hayo mtuambie mmepata wapi
taarifa hizo, na ni chombo gani cha kisheria cha
Kitaifa ama kimataifa kinachothibitisha au
kilichothibitisha tuhuma hizo.
RIPOTI YA MWAKYEMBE;
Kwa wale ambao Ripoti ya Mwakyembe ndio
mhimili wao katika kumtuhumu Lowassa leo
watuelezehaya;
Ni kipengele gani cha ripoti ya Mwakyembe
kinasema Lowassa ni mwizi
Ni kipengele gani cha ripoti ya Mwakyembe
kinasema Lowassa ameiba, amechukua chochote
kwa manufaa yake.
Ni Kipengele gani katika ripoti ya Mwakyembe
“kinachothibitisha” kuwa Richmond ni ya Lowassa.
==============================
====================
Kwa wale waliokuwa wakimchukia Lowassa
kwasababu wamesikia tu ni fursa yao kujua kama
waliyokuwa wakisikia yalikuwa sahihi au ni
majungu tu! Tunataka wajiridhishe, ili watembee
wakiwa na uthibitisho wa mambo waliyokuwa
wakisikia na wajue kama wako sahihi kumchukia
Lowassa na wanafanya jambo linalompendeza
Mungu au La!.
==============================
=====================
Naomba kabla hujaweka Comment yako sema
maneno haya “EE MWENYEZI NISIMAMIE NIWE
MKWELI KATIKA HILI NA UNIADHIBU NIKITOA
USHAHIDI WA UONGO, AMA NIKITOA USHAHIDI WA
KUHISI TU NA KUUFANYA KUWA NI USHAHIDI,
UNIADHIBU IKIWA NAPOTOSHA ILI WATU
WAMCHUKIE LOWASA. NA NENO HILI LISIPITE
BURE NA NIIONE ADHABU YAKO”
==============================
=====================
MUNGU IBARIKI TANZANIA, MBARIKI MHE.
EDWARD LOWASSA NA UENDELEE KUMPIGANIA.
WABARIKI WAKWELI WOTE NA WASAMEHE WATU
AMBAO MAJUNGU, UCHONGANISHI NA UZUSHI
NDIO MHIMILI WA MAISHA YAO.
Maoni ya Wengi haya hapa:
#Jumanne Alli
Asie mtaka lowasa ajinyonge hilo ndilo jembe la
ukweli.LOWASA JUU JUU zAIDI MBELE DAIMA
NYUMA MWIKO.
Like · Report · Saturday at 12:23pm
#Rosemary Magesa
In God i trust that Lowassa is our next president
Like · 1 · Report · Saturday at 12:26pm
#Sato Saleem Feruzi
tusisahau kura ya maon kupiga jaman
Like · Report · Saturday at 1:05pm
#Sato Saleem Feruzi
malipo dunian wale wote waliomchukia lowasa
ndiyo wengi walioiba pesa zetu sasa hatimaye
wazir muhongo kajiuzulu
Like · Report · Saturday at 1:07pm
#Manka Mushi
ni lowasa tu.chaguo la wengi.
Like · Report · Yesterday at 7:38am
Manka Mushi
kaka nafasi yako hii 2015.wanaokuchafua hawjui
siasa. wasamehe.
Like · 2 · Report · Yesterday at 7:41am
#Sammy Samson
No on like ENL
Like · Report · 10 hours ago
#Eliakimu Pallangyo
Hatuna mwingine zaidi ya El . our next predaaaa
Like · Report · 9 hours ago
Manka Mushi
wanaotuhumu hawasomi nyakati. bado wako
kwenye enzi za chama kimomja. tuko kwenye
vyama vingi tuende na nyota inayong'aa .wenzenu
wameunda ukawa nyie mnabaki kuona chuki na
lowasa.lowasa tu ndiye jembe la.watanzania.t
umwombee afya njema tusimtuhumu hasa
wanaccm tumezoea kuwa na makundi tuyaache
sasa tuende na lowasa.
Like · 1 · Report · 9 hours ago
#Cazimil Musa
Bila jembe hili ulime na nini 2015,Eddo boy
Like · Report · 20 minutes ago
Tutembelee MJUMBE BLOG Mtandaoni kwa picha,Matangazo,Habari mpya,Taarifa muhimu,Makala za kiuchambuzi,Matukio mbali mbali kila mara
Post a Comment