Unknown Unknown Author
Title: ZIME BAKI SAA CHACHE TU KUIJUA HATIMA YA MHONGO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Zikiwa zimebaki siku tatu kabla Bunge la Jamhuri ya Muungano kuan mjini Dodoma, sasa hakuna sha kwamba Rais Jakaya Kikwete atafan mabad...

Zikiwa zimebaki siku tatu kabla
Bunge la Jamhuri ya Muungano kuan
mjini Dodoma, sasa hakuna sha
kwamba Rais Jakaya Kikwete atafan
mabadiliko katika Baraza la Mawazi
wakati wowote kuanzia leo na kabla
Jumapili (saa 48) kutokana
kukabiliwa na safari ya nje.
Rais anatarajiwa kufanya mabadili
hayo baada ya kumwondoa An
Tibaijuka, ambaye alikuwa Waziri
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Maka
kwa kuhusishwa na kashfa ya uchotwa
fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escr
baada ya kuingiziwa Sh1.6 bilio
kwenye akaunti yake.
Mwingine ni Waziri wa Nishati
Madini, Profesa Sospeter Muhong
ambaye anatuhumiwa kutoshughulik
kwa makini sakata hilo na kusababis
Serikali kupoteza fedha hivyo kuwa
kwa uwezekano mkubwa wa kumv
uwaziri utakaomlazimu Rais kufan
mabadiliko madogo kwenye baraza lak
ikiwa ni miezi isiyozidi mitano kab
ya kuvunja Bunge kupisha Uchagu
Mkuu wa Oktoba.
Habari ambazo Mwananchi imezipa
zinaeleza kuwa Rais Kikwete anawe
kutangaza mabadiliko hayo waka
wowote kuanzia leo.
“Rais anaondoka Jumapili kwenda Dav
(Uswisi kuhudhuria mkutano wa Jukw
la Kiuchumi la Dunia (WEF)), hiv
kwa jinsi yoyote ile ni lazi
atangaze baraza kesho (leo)
Jumamosi,” alisema mpashaji haba
wetu.
“Hawezi kutangaza baraza jipya aki
nje ya nchi, hivyo ni lazima atanga
kesho (leo) au ikishindikana Jumamo
ili Jumapili afanye shughuli nyingi
na kuondoka.”
Hata hivyo, mabadiliko ya mwisho
Baraza la Mawaziri yalitangazwa
Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sef
ambaye pia anaweza kupewa kazi hiyo
Baada ya kujadili sakata la uchotwa
wa fedha hizo kwa takriban siku nn
Novemba 28, mwaka jana Bun
lilifikia maazimio manane, likiwa
la kutaka wote waliohusika kwen
kashfa hiyo wachukuliwe hatua
mamlaka husika, akiwamo Profe
Muhongo ambaye Rais Kikwete alise
Novemba 22, 2014 kuwa amemuwe
kiporo hadi baada ya “siku mbili
tatu” kusubiri matokeo ya uchunguzi
Hata hivyo, shinikizo liliongeze
baada ya Kamati Kuu ya CC
iliyokutana Zanzibar chini
uenyekiti wa Rais Kikwete, kuita
Serikali iwe imetekeleza kwa viten
maazimio yote ya Bunge kuhusu saka
hilo kabla ya kikao cha Bun
kitakachoanza Jumanne ijayo na kuta
wahusika walioko kwenye dhamana
uteuzi wachukuliwe hatua stahili
mamlaka zao kuwawajibisha mara moja
Pia, Kamati ya Maadili ya C
iliyokutana Dar es Salaam mapema wi
hii, iliwajadili wanacha
waliohusika kwenye kashfa hiyo
kupeleka taarifa yake kwenye Kama
Kuu ya chama hicho kwa hatua zaidi.
Wakati CCM ikisema hayo, wabun
wamekuwa wakimkumbusha kiongozi hu
wa Serikali kuchukua hatua kabla
kikao cha Bunge. Wabunge wawili
mkoani Arusha, Godbless Lema
Joshua Nassari wote kupitia Chadem
wamediriki kusema kuwa watamwond
Profesa Muhongo kwa mabavu kwen
ukumbi wa chombo hicho cha kutun
sheria iwapo Rais hataku
amemuondoa.
Pia, nchi wahisani zilieleza mape
mwezi huu kuwa pamoja na kuruhu
kiasi cha fedha kwa ajili ya mira
ya maendeleo, bado zinasubiri tam
la Serikali kuhusu sakata hilo, iki
ni pamoja na hatua ilizochukua kuzu
kashfa kama hiyo isitokee tena, i
Tanzania inufaike kwa misaada hiyo
fedha zinazotokana na walipakodi
nchi zao.
Chanzo:MWANANCHI



Tutembelee MJUMBE BLOG upate picha,Matangazo,Habari mpya,Taarifa mpya,Matukio kila mara.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top