Rais Robert Mugabe (90) amewatimua kazi
wafanyakazi 27 kwenye kikosi cha Usalama
kwa kushindwa kuwajibika wakati Rais
huyo akianguka.
Uzembe ambao unaonekana kufanywa na
jamaa hao ni kitendo cha kushindwa
kumdaka kiongozi huyo wakati akianguka,
kibaya zaidi ni kwamba alianguka mpaka
chini bila msaada wowote kutoka kwao
huku wakiwa wamesimama pembeni yake.
Taarifa za kutoka Ikulu ya Rais huyo
zinasema huu ni mwanzo tu, uchunguzi
unaendelea na wakipatikana wazembe
wengine nao watawajibishwa kama
walivyofanyiwa hapa .
Soma Zaidi:
Harare - Up to 27 members of
Zimbabwean President Robert Mugabe’s
security team have reportedly been
suspended after failing to help him
as he fell at Harare’s main airport.
Sources told The Standard newspaper
that the guards were handed their
suspension letters on Friday, two
days after Mugabe’s tumble, which
resulted in a series of memes.
However, a spokesperson in the
presidency denied the reports about
the suspensions.
An official told the newspaper
Mugabe’s fall was a serious incident
and many departments are being
investigated.
The Zimbabwe government has tried to
downplay the incident, insisting
that Mugabe managed to break his
fall and blaming the slip-up on a
hump in the carpet, Sapa reported.
The incident renewed questions over
Mugabe’s health. He has been in
power since 1980 and turns 91 this
month.
Source: Guards suspended after Mugabe's fall.
Ndugu mdau wetu
MJUMBE BLOG
Tunakupongeza kwa kutumia huduma zetu.
HONGERA,
Karibu tena.
Post a Comment