Je,mtu akifeli ana weza akapata Ajira? Raju Rastog alimwuliza mwalimu wake bwana Virus! Katika tamthiliya maarufu sana iliyo tamba kwa jina ...
KOMBE LA DUNIA KUZURU TANZANIA NOVEMBA 29
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Novemba 29,kumbe la dunia linategemewa kuzuru nchini mwetu.Akielezea Umuhimu wa ujio wa kombe la dunia kuja nchini Moris Kiuka alisema '...
MASHABIKI WALIO KOSA NIDHAMU WAIPONZA KLABU YA SIMBA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kutokana na Mashabiki wa klabu ya Simba kufanya vurugu uwanja wa taifa kwenye mechi zidi ya Kagera Sugar,Klabu ya Simba imetakiwa kulipa shi...
PIGO CHADEMA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Aliye kuwa naibu meya wa manispaa ya Moshi bwana Vincent Rimoy amefariki dunia ghafula jana Mchana kwa shinikizo la damu.
PIGO CHADEMA!!!!!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Aliye kuwa naibu meya wa manispaa ya moshi Bwana Vicent Rimoy amefariki dunia ghafla jana mchana kwa shinikizo la Damu.Na:Sr
WAANDISHI WALIO TEKWA NA WAASI WAUAWA!!!!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Waandishi wa redio France Internation walio tekwa na waasi mara baada ya kumhoji kiongozi Mmoja mjini Kidal Wame uawa.@Sr
WAANDISHI WALIO TEKWA WAUAWA!!!!!!!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Waandishi wa Habari wa Redio France Internation walio tekwa na waasi Mnamo Tarehe 02 Mwezi huu,kasikazini mwa Mali wame Uawa na waasi hao.Wa...
Dr SENGODO MVUNGI ICU!!!!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Tarifa za hivi punde zilizo tufikia zimethibitisha kuwa hali ya Dr Sengodo Mvungi yazidi kudorola hivyo ame wekwa katika chumba cha Uangaliz...
MAKUBWA HAYA!!!! Kumbe ni MADUNDA sio safu za Dr LIVINGSTONE??????
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Katika Elimu ya historia Tume kuwa tuki aminishwa kuwa kuna safu za milima ya Dr Livingstone...., Lakini leo mwana blog alipo kuwa katika sa...
WATAHINIWA SOMENI HAPA!!!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baraza la mitihani lime ongeza madaraja ya Ufaulu.Daraja la nne litakuwa sio mwisho wa upimaji,Bali kuna daraja la Tano lime ongezwa zaidi.....
KILA LA HERI WAHITIMU WA KIDATO CHA NNE!!!!!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Zikiwa zime salia saa chache kwa Wanafunzi wa kidato cha nne kuanza mitihani ya Taifa! MJUMBE BLOG ina chukua fursa hii Kuwatakia Watahiniwa...
BREAKING NEWS:ALIYE KUWA MJUMBE WA TUME HURU YA KATIBA APIGWA RISASI....!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mjumbe wa tume huru ya katiba Sengondo apigwa risasi na watu wasio julikana akiwa nyumbani kwake.Amekimbizwa Hospitali kwa Matibabu.
