Kushoto Mid Field Msababishaji Maarufu kwa jina la "KOLO" Akiongea na Mwana MJUMBE BLOG mid field wa Timu ya Yamaha;Alijigamba kwa kusema kuwa"Lazima Tuwa tupie tu.. Ushindi tunarudi nao;Mashabik…
MADUKA YAFUNGWA MWANZA KUPINGA MASHINE ZA TRA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wafanyabiashara jijini mwanza hapo jana walifunga maduka yao,kupinga kutumia mashine za kielektroniki(EFD) za mamlaka yamapato Tanzania(TRA),Zinazo tumika Kutoa Risti wakati wa bidhaa zao. Wafanyabi…
ERNEST MANGU MKUU MPYA WA JESHI LA POLISI TANZANIA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
KAMISHINA ERNEST MANGU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tamzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete,Leo Jumatatu ya Desemba 30 amemteua kamishina wa jeshi la Polisi Ernes…
PICHANI NI NGAMIA:UNACHO KIONA NI KIVULI CHA MAMBO MENGI USIYO YAONA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mpaka saizi nina uhakika hujamwona ngamia katika Picha hiyo! ZINGATIO:Hicho Cheusi Pichani ni Kivuli Cha Ngamia,Anaye onekana Kama kidoa cheupe kwenye kila kivuli! Kweli;Mengi unayo dhani unayaona ni …
REJEA YETU LEO:HAUHITAJI MTU ILI KUKAMILIKA.....!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Picha Na:Maktaba Yetu "Hauhitaji mtu ili kukamilika,Bali unahitaji mtu wa kukukubali kikamilifu hata kama hauja kamilika" SALIM KIKEKE MJUMBE sr MBEYA…
WALINDA AMANI WAUAWA NCHINI SUDANI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Umoja wa mataifa umesema walinda Amani wawili wame uawa wakati wakifanya Doria Eneo lenye Mzozo nchini Darfur Sudan. Afisa mmoja wa Jordani na mlinda Amani wa Senegal wali uawa wakati msafara wao uli…
KATIBA:TUME YA MABADILIKO YA KATIBA INA WASIRISHA RASIMU YA PILI KWA RAIS!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Leo ndio siku ya kukabidhi Rasimu ya pili ya Katiba;zoezi hilo likikamilika itafuatiwa na Kuvunjwa kwa tume hiyo kwa mjibu wa sheria. MJUMBE sr MBEYA…
@#@
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
USIKOSE:TAZAMA KURASA ZA MBELE ZA MAGAZETI YA LEO HAPA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
MJUMBE DARASA:Umewahi kujiuliza kwa nini mara nyingi ni vigumu kuelewa na kaka au dada yako?
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ndugu Watanzania ningependa kushare nanyi kuhusu utafiti wangu mdogo nilioufanya katika familia nyingi za Kibongo na hata duniani kote kuhusiana na hili nililolileta kwenu siku ya leo.Wakati wengin…
MAARIFA YA JAMII:SIKU RICHARD MABALA;ALIPOSEMA "LIFE IN VILLAGE IS VERY SIMPLE"!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kwa wale ndugu zangu ambao wana amini katika kujiongezea maarifa kupitia Kujisomea vitabu wanapo Pata Fursa na Nafasi ya kufanya hivyo! Ukiachana na wale wanao Soma kitabu flani kwasababu tu Mwalimu a…
RUSHWA NA UFISADI KWENYE UCHAGUZI VYA MCHUKIZA SUMAYE!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
"Ningefarijika sana kama tunaojiandaa kugombea nfasi mabalimbali hasa nafasi ya urais tungekemea rushwa na ufisadi hadharani"Frederick Sumaye Sumaye alitoa kauli hiyo jana katika harambee ya kuchan…
AUSTRALIA:JITIHADA ZA KUNASUA MELI ILIYO KWAMA KWENYE SARUJI ZINA ENDELEA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Meli ya Australia imo njiani kuelekea Mashariki ya Antarctica kwa ajili ya kukwamua meli ya wanasayansi iliyokwama kwenye theluji tangu siku ya jumanne.Awali juhudi za uokoaji zilifanywa na wavuja the…
MATUKIO KATIKA PICHA:MAGGID MJENGWA AZINDUA KITABU CHA MASIMULIZI YA MANDELA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Maggid Mjengwa akizungumza na Wadau walio Hudhuria katika Uzinduzi Ndg Moshaire Matinyi;Mgeni Rasmi akitoa Nasaha Wadau Waki nunua Kitabu kilicho Zinduliwa Ndugu Maggid Mjengwa akiweka saini kwenye …
KIVULI au PICHA:KATI YA HAWA NANI ANAFAA KUWA RAIS WETU?
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Pichani:Mheshimiwa Makamba(Kushoto) na Mheshimiwa Lowasa (Kulia). MJUMBE sr MBEYA…
MATUKIO KATIKA PICHA:LORI LA MAFUTA LAKAMATWA NA VIPODOZI;IRINGA!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baadhi ya Vipodozi vilivyo Kamatwa ndani ya Lori la Mafuta Kamanda wa Mkoa wa Iringa Ramadhani Mungi akionesha Shehena ya Vipodozi vilivyo kamatwa Mifuniko ya Lori Ikiwa Imesha Funguliwa baada ya Upe…
STENDI KUU YA NJOMBE YAGEUZWA BWAWA LA KUFUGIA SAMAKI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Hali Ilivyo ndani ya Stend ya Njombe Mmh;Hii ni stendi ya mabasi yamikoani.... Lakini Wenzetu hawa wame amua kubuni Mradi Tofauti na Kuamua kufugia samaki! Mabwawa ya Msimu ndani ya Stendi ya nj…
NI VIGUMU VITA KUSITISHWA SUDANI KUSINI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Msemaji wa jeshi amesema kuna matumaini madogo ya kusitishwa kwa mapigano Sudani kusini kwa sasa.Kiongozi wa waasi Riek Machar amesema wapiganaji wake bado wanashikilia eneo kubwa la kaskazini mwa …
WALIO CHAGULIWA KUJIUNGA NA ELIMU YA SEKONDARI MATOKEO YATANGAZWA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Picha na Maktaba Jumla ya watahiniwa 411127 kati ya 427609 walio faulu mtihani wa kumaliza darasa la saba mwaka 2013 wamechaguliwa kujiunga na Elimu ya Sekondari katika shule za serika…
TUPOGO:BADO TUPOGO! Aaha x2
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ila mimi naye;Tupogo! Aaha Nasema mimi naye...! Aaha MJUMBE Mlowo Ville…
AJIRA:DEREVA ANAHITAJIKA HAPA! SOMA ZAIDI TANGAZO HILI!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Picha imepigwa Vwawa,Mbeya na Mjumbe MJUMBE…